Thursday, February 02, 2006

Haya ndio mawazo ya spika la bunge la jamhuri ya muungano ya wadanganyika kuhusu ujinga wa wadnganyika kuwapokea tena maana vichwa vyao maji havikawii kusahau


Spika wa Bunge Bw. Samwel Sitta amewataka wabunge wasivunjike moyo kwa kufunikwa na wimbi zito la tuhuma zinahusiana na nyongeza ya maslahi yao. Bw. Sitta aliyasema hayo Jijini Dar es Salaam jana alipokuwa akifunga semina ya wiki mbili ya wabunge kuhusu kanuni na maadili katika Bunge. ’’Wabunge wapya mmsivunjike moyo kwa kufunikwa na wimbi la tuhuma, mzihesabu kama gharama za kuwa mwanasiasa,” alisema Spika huku akishangiliwa na wabunge.

Aliwataka wachukulie lawama hizo kama changamoto kwao wakiwa ni wanasiasa. Alisema wabunge wasitegemee kushangiliwa kila wakati na badala yake wajue kwamba kuna wakati watazomewa pia. Alisema mafanikio ya semina hiyo yametibuliwa kwa kiasi fulani na wimbi la lawama dhidi ya wabunge kuhusiana na mazungumzo katika mada ya masharti ya kazi ya mbunge iliyowasilishwa na Katibu Kiongozi Bw Philemon Luhanjo.

Alisema wachangiaji wa mada hiyo walieleza kwa uwazi mazingira ya utendaji wa kazi kwa wabunge na matatizo yanayowasibu katika kutekeleza wajibu wao. Alisema hata hivyo, michango ya wabunge juu ya maslahi yao imechukua kama dalili ya kutowajali wananchi.

Alisema hata ufafanuzi wake kuhusu suala hilo haukusaidia kuliweka jambo hilo sawa kwa sababu lilishajengewa mkondo ulioibua hisia mbaya katika jamii. ’’Sikukusudia hapa kutoa ufafanuzi mwingine juu ya maslahi ya wabunge katika mazingira haya ambayo hayaruhusu mjadala uliokamilifu,’’ alisema. ’’Kwa vyovyote vile masuala ya maslahi mbalimbali pamoja na wabunge kwa wakati hadi wakati yanaendelea kushughulikiwa na taasisi husika za Serikalini kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa, aliongeza.

Pia aliwataka wabunge hao kutopoteza muda kufikiria kama wametendewa haki ama la. Alisema hautapita muda mrefu kwa wananchi kutambua kuwa waliowachagua ni wabunge safi na wazalendo. Alisema yeye ana imani kubwa na Bunge hilo na kuwa ni hazina ya kujivunia kwa uzoefu na taaluma mchanganyiko na kwamba lina dhamira ya dhati ya kutumikia taifa.

6 Comments:

Blogger JUNGU KUU, Kwa fikra akinifu said...

Mwana hotspot.
Hata kama sijaisoma yote makala yako lakini nimetumia utalaam wa kusoma habari kwa mda mfupi na kuelewa ulichokuwa unakizungumzia.

Bwn hotspot kwa vyovyote wabunge walikurupuka bila kusoma alama za nyakati.Alama za nyakatio za kwamba walidhani wananchi bado ni kondoo wa miaka 15 iliyopita au zaidi. Na kwamba wananchi eti bado wana ukondoo wa kunyamaza kimya kila kitu kinachopitishwa na mihimili 3 ya nchi hii hata kama ina makosa.
Wangelijua hayop na spika wao wasingethubutu hata kutoa hoja hiyo hata kwa punguti(nukta) ya utani na mfano wa kudai maslahi binafsi.
Lakini hata hivyo waliipata na watakuwa wamejifunza na wamepata somo kubwa sana kuliko walivyokuwa wakidhani.
Cha msingi watanzania tuzidi kuandamana kwa mawazo na fikra pevu dhidi ya tawala zetu na watawala wetu wavivu wa kufikiri.
Na kwamba tutumie falsafa ya JEREMY BENTHAN, aliposema "Ni bora kuwa binadamu asiyetosheka, kuliko kuwa nguruwe aliyetosheka. Kwa hiyo tuzidi kuhoji, kudurusu na kusimama kidete juu ya maamuzi mabovu ya mtu yeyote mbele ya maslahi ya umma. Pia nakukumbusha kwamba Steven Biko wa Afrika kusini aliwahi kusema" Ni bora kufa kwa fikra ambayo itaishi kuliko kuishi kwa fikra ambayo itakufa".
Wananchi na hasa damu changa tujihini(tujitahidi) kutoa fikjra yakinifu mbele ya maendeleo ya nchi yetu, vinginevyo watoto wetu na hata wajukuu zetu watakuja fukua kaburi zetu kwa kuwa wanafiki wa kukaa kimya ili hali tuna silaha za kuhoji wale wote wavivu wa fikra na mabukanya(wabinafsi, waroho na wenye tamaa ya kujikusanyia mali binafsi).
Hongera kwa kuliona hilo.

1:57 PM  
Blogger imanauliya said...

I like it this really good information
Vimax asli
Vimax pills
Obat perangsang wanita
Boneka Full Body
Obat Vimax
Meizitang Botanical
Pelangsing Cepat Alami

2:19 PM  
Blogger Unknown said...

VIMAX ASLI
ALAT SEX UNTUK PRIA
VAGINA PANTAT NUNGGING
VAGINA TABUNG
VAGINA SENTER
BONEKA FULL BODY
ALAT SEX UNTUK WANITA
VIBRATOR LIDAH
PENIS TEMPEL GETAR ELEKTRIK
PENIS SILIKON GETAR
PENIS IKAT PINGGANG
BONEKA FULL BODY PRIA
PENIS MUTIARA
VIBRATOR PENGGELI
ALAT PEMBESAR PENIS
VAKUM PEMBESAR PENIS
PRO EXTENDER
ALAT PEMBESAR PAYUDARA
VAKUM PAYUDARA
KRIM PAYUDARA
dr SUSAN CREAM
KONDOM
KONDOM KRISTAL
KONDOM NAGA
KONDOM KAKTUS
MINYAK PEMBESAR PENIS
COBRA OIL
BLACK MAMBA OIL
LINTAH PAPUA
OBAT KANTUNG MATA
OBAT PENGHILANG KANTUNG MATA
OBAT KUAT SEX
KAMAGRA OBAT KUAT CAIR
OBAT KUAT SEMPROT PROCOMIL SPRAY

9:18 AM  
Anonymous Anonymous said...

VIMAX ASLI CANADA
VIMAX ASLI
VIMAX canada
MANFAAT VIMAX
VIMAX CAPSUL
CIRI CIRI VIMAX
VIMAX
OBAT PEMBESAR PENIS
HARGA VIMAX
OBAT PEMBESAR PENIS
VIMAX HERBAL
VIMAX OBAT HERBAL
OBAT PEMBESAR PENIS
VIMAX
MANFAAT VIMAX ASLI
VIMAX CANADA
VIMAX ASLI
VIMAX CAPSUL
MANFAAT VIMAX CAPSUL
OBAT PEMBESAR PENIS
MANFAAT VIMAX ASLI
MANFAAT VIMAX
VIMAX
HARGA VIMAX CAPSUL
HARGA VIMAX ASLI
HARGA VIMAX

4:40 AM  
Anonymous Anonymous said...

VIMAX ASLI CANADA DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX CANADA DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX IZON DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
APOTEK VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
OBAT PEMBESAR PENIS DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
OBAT PEMBESAR PENIS DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX HERBAL DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX ASLI DI SURABAYA | DI SIDOARJO | DI MALANG
JUAL VIMAX ASLI DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
DISTRIBUTOR VIMAX DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
OBAT PEMBESAR PENIS DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX ASLI CANADA DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX ASLI DI AURABAYA | AIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG

4:48 AM  
Anonymous Anonymous said...

VIMAX ASLI CANADA DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX CANADA DI MAKASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX IZON DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
OBAT PEMBESAR PENIS DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
OBAT PEMBESAR PENIS DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX HERBAL DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
AGEN VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
JUAL VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
AGEN VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
DISTRIBUTOR VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX IZON DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI SENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
AGEN VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
OBAT PEMBESAR PENIS DI MAKASAR | BALI | LOMBOK
JUAL VIMAX ASLI DI MAKASAR | DI LOMBOK | DI BALI
AGEN VIMAX DI SENPASAR | DI LOMBOK | DI BALI
VIMAX DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX AALI CANADA DI DENPASAR | DI BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI DENPASAR | DI BALI | DI LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | DI BALI | DI LOMBOK

4:49 AM  

Post a Comment

<< Home